Msanii mkongwe wa muziki wa asili nchini, Christopher Nyarusahi mwenye umri wa miaka 78 akitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Baraza la Wazee iliyofanyika sambamba na ugawaji wa vitambulisho vya matibabu bila malipo kwa wazee katika Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara, wiki iliyopita. (Picha na Mara Online News)
Afisa
Tarafa ya Inchage, Jonathan Machango (katikati) akimkabidhi mzee
kitambulisho cha matibabu bila malipo katika hafla hiyo.
Anayeshuhudia kushoto ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Tarime,
Dkt Calvin Mwasha. (Picha na Mara Online News)
No comments:
Post a comment