NEWS

Thursday 31 December 2020

Naibu Waziri Waitara aagiza Tarime Mji kuondoa taka barabarani

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara (kushoto), akimwagiza Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Erasto Mbunga, kuhakikisha takataka zote zilizotupwa kandokando ya barabara zinaondolewa haraka na kupelekwa maeneo maalumu yaliyotengwa kwa ajili hiyo.


Waitara ametoa agizo hilo leo Desemba 31, 2020 wakati wa ziara yake ya kukagua mazingira katika halmashauri hiyo.

#Mara Online News - UPDATES

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages