NEWS

Friday, 4 March 2022

Meneja NHC Mara atembelea ofisi za Mara Online


Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Mkoa wa Mara, Eliaisa Keenja (kulia pichani juu), juzi alitembelea ofisi za Mara Online na kufanya mazungumzo maalum na Mhariri Mtendaji wa blogu ya Mara Online News na gazeti la Sauti ya Mara, Jacob Mugini, ambapo walikubaliana kuendelea kutumia vyombo hivyo kutangaza maendeleo yanayofanywa na shiriki hilo kwa jamii.


Meneja Eliaisa akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Mara Online. Mbele ya mwenyeji wake, Mhariri Mtendaji, Jacob.

#MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages