NEWS

Friday 4 March 2022

Wanawake Halmashauri Tarime Vijijini wanunua tiketi kutembelea Hifadhi ya Serengeti



Mkuu wa kitengo cha huduma kwa mteja wa Mara Online, Winnie Magaria (kushoto) akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini), Marina Ngailo tiketi alizonunua mchana huu kwa ajili ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti siku ya Jumapili Machi 6, mwaka huu, ikiwa ni safari maalum ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kufanya utalii wa ndani katika hifadhi hiyo bora duniani.

#MaraOnlineNews-Updates

1 comment:

  1. Best eCOGRA Sportsbook Review & Welcome Bonus 2021 - CA
    Looking for an eCOGRA ventureberg.com/ Sportsbook apr casino Bonus? nba매니아 At this eCOGRA Sportsbook review, we're talking about a variety of 1xbet login ECCOGRA sportsbook deccasino promotions.

    ReplyDelete

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages