Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee (kulia) akipokea nakala ya Gazeti la Sauti ya Mara kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa gazeti hilo, Jacob Mugini alipomtembelea kiongozi huyo ofisini kwake mjini Musoma jana.
#MaraOnlineNews-Updates
No comments:
Post a Comment