NEWS

Sunday 25 February 2024

Dkt Edward Machage amsaidia mwanafunzi mahitaji ya kuanza kidato cha kwanza



Dkt Edward Machage
------------------------------


MDAU wa maendeleo, Dkt Edward Machage amejitolea kumsaidia mwanafunzi aliyekuwa amekwama kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza kutokana na mazingira magumu.

Dkt Machage amemnunulia mwanafunzi huyo (jina tunalihifadhi) sare, meza, kiti na rimu pamoja na kutoa fedha kwa ajili ya malipo ya walimu wa masomo ya sayansi.

Aidha, Dkt Machage ameahidi kugharimia mahitaji ya shule ya mwanafunzi huyo mpaka mwisho wa masomo yake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages