
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura - alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi mkoani Kilimanjaro kushiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi hilo leo Septemba 17, 2024.

Rais Samia akiteta jambo
na IGP Wambura

UNAWEZA PIA KUSOMA:
>>Dkt Biteko: Rais Samia amedhamiria kuufungua mkoa wa Kigoma kiuchumi
>>Mwenyekiti Halmashauri ya Serengeti atembelea ofisi za Gazeti la Sauti ya Mara
>>Nyambari apokea kundi la wafanyabiashara maarufu kutoka India, wafanya ziara Zanzibar
>>CSR Mgodi wa Barrick Bulyanhulu yawagusa watu wenye ulemavu Msalala
No comments:
Post a Comment