
Felix Ngoda enzi za uhai
Na Joseph Maunya, Tarime
Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara, Felix Ngoda, amefariki dunia baada ya kupata ajali ya pikipiki mjini humo jana Mei 1, 2025.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Gimbana Ntavyo, amethibitisha kutokea kwa kifo hicho cha mtumishi wake na kwamba taarifa za tararibu za mazisha zitatolewa.
Mara Online News inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Mkoa wa Polisi Tarime - Rorya kwa ajili ya kuzungumzia zaidi tukio hilo.
UNAWEZA PIA KUSOMA:
»Waziri Mavunde azindua mradi wa uchimbaji madini kwa vijana Nyamongo
»Mwenyekti UVCCM Mara aongoza vijana ziara ya mafunzo Mgodi wa Barrick North Mara
»MAKALA:Ushirika wa WAMACU wamshukuru Rais Samia uzinduzi wa Benki ya Ushirika Tanzania
»Meja Gowele awa Mkuu wa Wilaya wa kwanza kutangaza Mlima Tarime kivutio cha utalii
No comments:
Post a Comment