NEWS

Saturday, 5 July 2025

Mkutano Mkuu wa Kikundi cha New Spirit of Giving wafana mjini Tarime



Mgeni rasmi (aliyevaa suruali ya kaki) akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Kikundi cha New Spirit of Giving, mara baada ya Mkutano wao Mkuu kwenye Hoteli ya CMG mjini Tarime, Mkoani Mara, jana Julai 4, 2025, ambapo pamoja na mambo mengine, waliendesha harambee ya kuchangia uanzishaji wa SACCOS ya kikundi. (Picha na Mara Online News)
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages