
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Serengeti kupitia CCM, Dkt. Jeremiah Mrimi Amsabi (kulia), akimpongeza kada mwenzake, Mary Daniel Joseph (kushoto), kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang'anyiro cha ubunge wa jimbo hilo, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake mjini Mugumu jana Septemba 12, 2025, ambapo alimuahidi kumsaidia kuomba kura kwa wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba 29, 2025.
No comments:
Post a Comment