NEWS

Wednesday, 24 September 2025

Masasi: Dkt. Samia azuru Kaburi la Hayati Benjamin Mkapa



Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasha mshumaa kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, lililopo Lupaso, Masasi mkoani Mtwara leo Septemba 24, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages