NEWS

Friday, 17 October 2025

Tarime: Mara Online yaipatia Shule ya Msingi Nyamwino mipira ya football na netball



CEO wa Mara Online, Mugini Jacob ambaye pia ni mwaandishi wa habari, akikabidhi msaada wa mipira ya michezo kwa wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Nyamwino iliyopo Halmashauri ya Mji wa Tarime juzi. Aliyevaa suti ya ugoro ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Samson Misana Ipagara.


CEO wa Mara Online, Mugini Jacob ambaye pia ni mwaandishi wa habari, akikabidhi zawadi ya shilingi 10,000 kwa mwanafunzi aliyejibu swali lake kwa usahihi juzi, wakati alipopeleka msaada wa mipira ya michezo katika Shule ya Msingi Nyamwino iliyopo Halmashauri ya Mji wa Tarime. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Samson Misana Ipagara.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages