
Mwanahabari ambaye pia ni CEO wa Mara Online, Jacob Mugini, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Shule ya Msingi Azimio iliyopo Halmashauri ya Mji wa Tarime, mkoani Mara - kutambua mchango wa meza nne za walimu na kompyuta - alivyowahi kuipatia shule hiyo miaka michache iliyopita, katika hafla ya chakula maalum iliyofanyika shuleni hapo Oktoba 16, 2025.

CEO Mugini akitoa neno la shukrani katika hafla hiyo ambapo pia wadau wengine wa shule hiyo walitunukiwa vyeti vya shukrani.
No comments:
Post a Comment