
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 29, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania Mohamed Chande Othman katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo mara baada ya kuizindua leo Novemba 20, 2020, Ikulu Chamwino, jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment