NEWS

Tuesday, 2 December 2025

Matera, Juster wachaguliwa kwa kishindo Baraza la Madiwani Tarime DC



Kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Manga, Matera Newland Chacha, aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Halimashauri ya Wilaya ya Tarime, na Diwani wa Kata ya Nyakonga, Juster Daudi Magabe, aliyechaguliwa kuwa Makamu wake.

Waliibuka washindi wa nafasi hizo katika uchaguzi uliofanywa na Baraza jipya la Madiwani wa halmashauri hiyo katani Nyamwaga, jana Desemba 2, 2025. Uchaguzi huo ulisimamiwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tarime, Mwl. Saul Mwaisenye.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages