
Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, Matera Newland Chacha.
Mara
---------





Wiki iliyopita, kama ilivyofanyika katika mikoa mingine nchini, madiwani wa mkoani Mara walichagua wenyeviti wapya watakaoongoza halmashauri zao kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Baadhi ya wenyeviti hao na halmashauri zao zikiwa kwenye mabano ni Matera Newland Chacha (Wilaya ya Tarime), Masalo Minza Shani (Mji wa Bunda), Ayub Mwita Makuruma (Wilaya ya Serengeti) na Renatus Majungu (Wilaya ya Bunda).

Masalo Minza Shani - Mji wa Bunda
Wenyeviti wapya wengine ni Solomon Ihare Mabati (Wilaya ya Rorya), Samwel Maregesi (Wilaya ya Musoma), Thobias Ghati (Mji wa Tarime), George Nyamaha (Wilaya ya Butiama) na Alex Mtake Nyabiti (Meya - Manispaa ya Musoma).

Ayub Mwita Makuruma - Wilaya ya Serengeti

Alex Mtake Nyabiti (Meya - Manispaa ya Musoma)

Thobias Ghati - Mji wa Tarime

Solomon Ihare Mabati - Wilaya ya Rorya
No comments:
Post a Comment