![]() |
| Halima Idd Nassor enzi za uhai wake |
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi, Halima Idd Nassor, 45, amefariki jana jijini Dar es Salaam katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa ya kifo chake ilitolewa na Spika wa Bunge, Mussa Azam Zungu, baada ya kufariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
Mazishi ya Mbunge huyo yalifanyika jana huko Kigamboni, Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment