
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) katika hafla iliyofanyika Ikulu - Chamwino jijini Dodoma, leo Aprili 8, 2026.
Dodoma
---------------
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, katika hafla iliyofanyika Ikulu - Chamwino jijini Dodoma, leo Aprili 8, 2026.

Rais Samia akimuapisha Festo John Dugange kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Rais Samia akimuapisha Kwagilwa Reuben Nhamanilo kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Gerson John Mdemu akiapishwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama

Viongozi wateule wakiapa Kiapo cha Maadili mbele ya Rais Samia, katika hafla iliyofanyika Ikulu - Chamwino jijini Dodoma, leo Aprili 8, 2026.
No comments:
Post a Comment