Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia), akisalimiana na Mlezi wa Mtandao wa Wanawake Viongozi Afrika (AWLN), Rais mstaafu wa Jamhuri ya Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Aprili 20, 2026. (Picha na Ikulu)
Monday, 20 April 2026
Rais Samia ateta na Mlezi wa Mtandao wa Wanawake Viongozi Afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment