NEWS

Thursday, 2 April 2026

Vatican: Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi asalimiana na Papa Leo XIV



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, mara baada ya Ibada ya Hija iliyofanyika katika Uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro – Vatican, jana Aprili 1, 2026.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages