
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (katikati mbele), katika picha ya pamoja na wagombea wa nafasi ya urais na wagombea wenza kutoka vyama vya siasa 16 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 2025. Mazungumzo ya Rais Samia na wagombea hao yalifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Machi 31, 2026.
No comments:
Post a Comment