NEWS

Monday, 8 June 2026

Mafunzo ya kisheria kwa waandishi wa habari na wapigapicha wilayani Tarime



Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele (katikati waliokaa), Mwakilishi wa Mkurugenzi Tarime TC (wa pili kulia waliokaa), wanasheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria (wa kwanza na wa pili kushoto waliokaa), Mwenyekiti wa Umoja wa Kuwezesha Waandishi wa Habari (REU) na Wapigapicha Wilaya ya Tarime, Jacob Karoli (wa kwanza kulia waliokaa) na viongozi wengine wa REU (waliosimama), wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mafunzo maalum ya kisheria ya siku tatu yanayotolewa na wizara hiyo kwa wanachama wa umoja huo, yalioanza leo Juni 8, 2026 mjini Tarime. (Picha zote na Mara Online News)
















No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages