NEWS

Saturday, 25 July 2026

Waziri wa Ulinzi Dkt. Nyansaho akiteta na Mkuu wa Majeshi Jenerali Mkunda


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho, akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, baada ya Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa, uliopo Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma, leo Julai 25, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages