NEWS

Sunday, 21 June 2026

Marais wa Tanzania, Namibia washuhudia utiaji saini hati za ushirikiano


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia) na mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dkt.Netumbo Nandi-Ndaitwah, wakishuhudia utiaji saini wa hati nne za makubaliano ya ushirikiano katika sekta za biashara, maendeleo ya biashara ndogo na za kati, ulinzi na ushirikiano wa miji kati ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar na Manispaa ya Swakopmund, tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar-es-Salaam, Juni 20, 2026.

(Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages