NEWS

Friday, 10 July 2026

Viongozi Taasisi ya Shujaa wa Maendeleo wakutana na RC Mara, kupiga jeki kampeni ya kupinga ukatili



Viongozi na watendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) wakiwa wameambatana na wawakilishi vya mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa, leo Julai 10, 2026 wamefika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi (pichani waliosimama), kwa ajili ya kumsalimia na kumueleza kuhusu ziara yao mkoani Mara, yenye lengo kutoa elimu ya kupinga ukatili kwa watoto, wanawake na wababa - yenye kaulimbiu isemayo "Kataa Ukatili, Wewe ni Shujaa".

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages