NEWS

Saturday 30 May 2020

Serengeti kutumia teknolojia ya kisasa kuzalizsha mihogoHalmashauri ya Wilaya ya Serengeti imeanzisha teknolojia ya kitalu(green house) kuzalisha mbegu za  mihogo  katika wilaya hiyo .
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti (DED)Mhandisi Juma Hamsini ameiambia Mara Online News leo Mei 30, 2020 kuwa  kitalu hicho pia kitatumika kutoa elimu ya uzalishaji wa zao la mihogo bora kwa wakulima.
Mtaalamu wa kilimo katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti akiwa  kazini katika kitalu(green house)   
Mihogo ni moja ya mazao makubwa ya chakula katika  maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mara ikiwemo Wilaya ya Serengeti .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages