Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti imeanzisha
teknolojia ya kitalu(green house) kuzalisha mbegu za mihogo
katika wilaya hiyo .
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
(DED)Mhandisi Juma Hamsini ameiambia Mara Online News leo Mei 30, 2020 kuwa kitalu hicho pia kitatumika kutoa elimu ya
uzalishaji wa zao la mihogo bora kwa wakulima.
Mtaalamu wa kilimo katika Halmashauri ya Wilaya ya
Serengeti akiwa kazini katika
kitalu(green house)
Mihogo ni moja ya mazao makubwa ya chakula katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mara ikiwemo
Wilaya ya Serengeti .
No comments:
Post a Comment