NEWS

Saturday, 20 July 2024

Nyambari Nyangwine awasili India, atangaza bidhaa za Tanzania



Mfanyabiashara, mwandishi na mchapishaji maarufu wa vitabu Tanzania, Nyambari Nyangwine (wa tano kulia pichani juu), amewasili nchini India kwa ziara ya siku nane ya kibiashara akiwa ameambatana na baadhi ya wafanyakazi wake, leo Julai 20, 2024.

Katika ziara hiyo, Nyambari ambaye ni Mwenyekiti wa Nyambari Nyangwine Group of Companies Ltd (NNGCL), amepokewa na wenyeji wake India na kutumia fursa hiyo kutangaza kwao bidhaa mbalimbali za Tanzania.


Nyambari Nyangwine (mwenye kofia) akitangaza bidhaa za Tanzania kwa wafanyabiashara wa India mara baada ya kuwasili nchini humo kwa ziara ya siku nane ya kibiashara.
Read Also Section

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages