
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Flowin Gowele (kushoto) akisalimiana na Katibu wa CCM Mkoa wa Mara, Ibrahim Mjanaheri wakati alipokwenda kujitambulisha rasmi katika ofisi za chama hicho tawala mjini Musoma, mapema leo Septemba 11, 2024.
Mwenyekiti wa MRPC, Mugini Jacob, akifungua Mkutano Mkuu Maalum wa klabu hiyo kwenye Hoteli ya Goldland mjini Tarime, Mara jana Septemba 16,...
No comments:
Post a Comment