
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Flowin Gowele (kushoto) akisalimiana na Katibu wa CCM Mkoa wa Mara, Ibrahim Mjanaheri wakati alipokwenda kujitambulisha rasmi katika ofisi za chama hicho tawala mjini Musoma, mapema leo Septemba 11, 2024.
Mwakilishi wa Nyambari Nyangwine Foundation, Sospeter Migera Paul(wa tatu kushoto) akikabidhi msaada wa vitabu kwa walimu na wanafunzi wa Sh...
No comments:
Post a Comment