Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, 14 January 2020

CHUI AJERUHI WATU SITA SERENGETINa Mwandishi wetu,
Chui ambaye alikuwa amejificha katika mashamba ameshambulia na kujeruhi watu sita katika kijiji cha Bisarara , Kata ya Sedeco Wilayani Serengeti Mkoani Mara leo asubuhi.
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu amesema hakuna mtu aliyepoteza maisha katika shambulio hilo la chui.
“ Huyu chui alianza kusumbua tangu saa kumi na mbili asubuhi hadi saa nane mchana alipouawa." Babu ameiambia Mara Online News kwa njia ya simu leo jioni.

1 comment:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages