NEWS

Friday 24 April 2020

Mto Grumeti wakata mawasiliano Serengeti

Maji yalivyojaa mto Grumeti

 Mvua imesababisha mafuriko ambayo yamefunika daraja la Grumeti leo Aprili 24, 2020 na kulisababisha kutopitika, hivyo kukata mawasiliano kati ya Fort Ikoma na Robanda katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara# Mara Online News Updates.

1 comment:

  1. Sand harvesting my concern,some something to be done!

    ReplyDelete

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages