MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara na Afisa Habari wa CCM Wilaya ya Serengeti, Chief Mosabi (pichani), jana Julai 15, 2020 amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang'anyiro cha nafasi ya udiwani katika kata ya Kisangura, Serengeti.#Mara Online New
Post Top Ad
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment