NEWS

Tuesday 27 August 2024

Rais Samia atua Kenya kushiriki uzinduzi wa kampeni ya Raila uenyekiti AU



Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Nairobi, Kenya leo Agosti 27, 2024 kuhudhuria uzinduzi wa kampeni ya Raila Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU.
-------------------------------------------

Na Mwandishi Wetu

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa wakuu wa nchi mbalimbali, walioalikwa kushiriki hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Raila Omolo Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).

Tayari Rais Samia amewasili nchini Kenya kuitikia mwaliko wa Rais Dkt William Samoei Ruto - wa kushiriki uzinduzi wa kampeni hiyo ya Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, inayofanyika jijini Noirobi leo Agosti 27, 2024.
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages