NEWS

Sunday, 24 November 2024

Edwin Soko na Lulu Samson wafunga pingu za maisha



Edwin Soko na Lulu Samson (kushoto) wakiwa kwenye ibada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa Katoliki Parokia Mt. Magreth wa Scotland jijini Mwanza Novemba 23, 2024.
--------------------------------------

Edwin Soko, ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC), hatimaye ameaga ukapela kwa kufunga ndoa na Lulu Samson.


Wanaharusi hao walifunga ndoa yao jana Novemba 23, 2024 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Magreth wa Scotland jijini Mwanza.


Wanaharusi Edwin Soko na Lulu Samson katika ubora wao
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages