NEWS

Monday, 25 November 2024

Shahada ya Udaktari wa Heshima



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akionesha Shahada ya Udaktari wa Heshima (PhD) katika Uongozi ya Chuo Kikuu Mzumbe, aliyotunukiwa jana Novemba 24, 2024 wakati wa Mahafali ya 23 ya chuo hicho mkoani Morogoro. Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein aluemkabidhi shahada hiyo.

Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages