
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (kulia), Dkt Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakati alipowasili mkoani humo leo Desemba 15, 2024 ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Mwaka wa Viongozi wa TAKUKURU utakaofanyika kesho.
No comments:
Post a Comment