NEWS

Monday, 10 February 2025



Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa (Bara), Stephen Masato Wasira akimjulia hali Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, MNEC Christopher Mwita Gachuma jana katika Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza baada ya kupata ajali ya gari wilayani Serengeti, Mara juzi.


Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi akimjulia hali Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, MNEC Christopher Mwita Gachuma jana katika Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza baada ya kupata ajali ya gari wilayani Serengeti, Mara juzi.
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages