
Basi la Coast Line linalofanya safari kati ya Tarime mkoani Mara na Arusha, lilipinduka mjini Tarime jana Jumatatu saa mbili usiku, ambapo linadaiwa kuua mwenda kwa miguu. Mara Online News inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya kwa ajili ya kuzungumzia ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment