
Kikundi cha ngoma ya asili kinachofahamika kwa jina la Nyakitari kikitoa burudani wakati Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Ismail Ali Ussi (hayupo pichani), alipokwenda kuzindua mradi wa upanuzi wa chanzo cha maji katika Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara wilayani Tarime jana. Mradi huo utagharimu shilingi bilioni 2.665 zilizotengwa na mgodi huo kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamiii (CSR) - kwa ajili ya kusambaza maji kwa wakazi 125,566 wa vijiji 11 vinavyouzunguka. (Picha na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment