
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipiga picha ya 'selfie' na maelfu ya wananchi wa Kibaigwa mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, leo August 30, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (...
No comments:
Post a Comment