NEWS

Wednesday, 29 October 2025

DC Serengeti Angelina Marco aungana na wananchi kupiga kura



Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Angelina Marco Lubela (aliyevaa kitambaa cha njano kichwani), akiwa kwenye mstari kuelekea kupiga kura wilayani humo katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika lnchini eo Jumatano, Oktoba 29, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages