NEWS

Friday, 24 October 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Nchi hiyo, Mhe. Floribert Anzuluni, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 24 Oktoba, 2025.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages