NEWS

Friday, 7 November 2025

Majina 115 ya Wabunge wa Viti Maalum yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi haya hapa



Mwenyekiti wa INEC Tanzania, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele.

Na Mwandishi Wetu
Dodoma
-------------

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), jana Novemba 7, 2025 ilitangaza orodha ya Wabunge Wanawake wa Viti Maalum 115, wakiwemo 113 kutoka CCM na wawili kutoka CHAUMMA, walioteuliwa kushiriki katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Taarifa ya INEC ilisema uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 66(1)(b) na 78(1) za Katiba ya mwaka 1977, pamoja na kifungu cha 112 cha Sheria ya Uchaguzi wa mwaka 2024.

Iliongeza kuwa uteuzi huo umezingatia uwiano wa kura zilizopatikana na vyama vya siasa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, sambamba na masharti ya kikatiba yanayolenga kuongeza ushiriki wa wanawake katika uongozi wa kisiasa.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ramadhani Kailima, idadi kamili ya Wabunge wa Viti Maalum inapaswa kuwa 116, ambapo uteuzi wa nafasi moja bado unasubiri kukamilika kwa uchaguzi wa ubunge katika majimbo ya Fuoni (Zanzibar) na Siha (Tanzania Bara).

Ifuatayo ni orodha ya Wabunge Wanawake wa Viti Maalum 115 walioteuliwa:
1. Agness Elias Hokororo CCM
2. Agness Mathew Marwa CCM
3. Aisha Msantu Mduyah CCM
4. Amina Ali Mzee CCM
5. Amina Good Said CCM
6. Amina Iddi Mabrouk CCM
7. Asha Juma Feruzi CCM &
8. Asha Omar Rashid CCM
9. Asha Ramadhani Baraka CCM
10. Asha Salum Motto CCM
11. Asya Ali Khamis CCM
12. Asya Sharifu Omar CCM
13. Athumini Omary Mapalilo CCM
14. Aysharose Ndogholi Mattembe CCM
15. Aziza Sleyumu Ally CCM
16. Bonnah Ladislaus Kamoli CCM
17. Catherine Canute Joachim CCM
18. Cecilia Daniel Paresso CCM
19. Chiku Athman Issa CCM
20. Christina Christopher Mnzava CCM
21. Christina Solomon Mndeme CCM
22 Devotha Daniel Mburarugaba CCM
23. Esther Lukago Midimu CCM
24. Esther Edwin Malleko CCM
25. Fatma Ally Rembo CCM
26. Ghati Zephania Chomete CCM
27. Grace Elias Mkoma CCM
28. Halima Abdallah Bulembo CCM
29. Halima Iddi Nassor CCM
30. Happiness Daniel Ngwado CCM
31. Hawa Mchafu Chakoma CCM
32. Husna Juma Sekiboko CCM
33. Jacqueline Chrisant Mzindakaya CCM
34. Jacqueline Kainja Andrew CCM
35. Jacqueline Kandidus Ngonyani (Msongozi) CCM
36. Jamila Mahmoud Juma CCM
37. Janeth Elias Mahawanga CCM
38. Janeth Peter Pinda CCM
39. Jasmine Chesco Ng umbi CCM
40. Jesca John Magufuli CCM
41. Jesca Yuda Mbogo CCM
42. Josephine Joseph Kapoma CCM
43. Josephine Tabitha Chagula CCM
44. Juliana Daniel Shonza CCM
45. Kabula Enock Shitobela CCM
46. Khadija Hassan Aboud CCM
47. Khadija Shaaban Taya (Keisha) CCM
48. Kijakazi Yunus Mohamed CCM
49. Latifa Khamis Juwakali CCM
50. Lucy Edward Mwakyembe CCM
51. Lucy Similya Kombani CCM
52. Lulu Guyo Mwacha CCM
53. Magreth Baraka Ezekiel CCM
54. Mariam Abdallah Ibrahim CCM
55. Mariam Anzuruni Mungula CCM
56. Mariam Madalu Nyoka CCM
57. Mariam Ussi Yahya CCM
58. Marirta Gido Kivunge CCM
59. Martha Festo Mariki CCM
60. Martha Nehemia Gwau CCM
61. Mary Francis Masanja CCM
62. Mary Pius Chatanda CCM
63. Maryam Azani Mwinyi CCM
64. Maryprisca Winfried Mahundi CCM
65. Mgeni Hassan Juma CCM
66. Mvita Mustafa Ali CCM
67. Mwanaenzi Hassan Suluhu CCM
68. Mwanahamisi Athumani Munkunda CCM
69. Mwanaisha Ng’anzi Ulenge CCM
70. Mwantatu Mbarak Khamis CCM
71. Mwantumu Mzamilu Zodo CCM
72. Nadra Gulam Rashid CCM
73. Najma Murtaza Giga CCM
74. Nancy Hassan Nyalusi CCM
75. Naomy Duncan Mwaipopo CCM
76. Nasriya Nassir Ali CCM
77. Neema Gerald Mwandabila CCM
78. Neema Peter Majule CCM
79. Neema William Mgaya CCM
80. Ng’wasi Damas Kamani CCM
81. Nyamizi Simon Mhojа CCM
82. Pindi Hazara Chana CCM
83. Rahma Riadh Kisuo CCM
84. Rebeca Sanga Nsemwa CCM
85. Regina Christopher Malima CCM
86. Regina Henry Mikenze CCM
87. Regina Ndege Qwaray CCM
88. Rose Cyprian Tweve CCM
89. Salome Wycliffe Makamba CCM
90. Samira Khalfani Amour CCM
91. Santiel Eric Kirumba CCM
92. Selina Henry Kingalame CCM
93. Shadya Haji Omar CCM
94. Sheila Edward Lukuba CCM
95. Sikudhani Yassini Chikambo CCM
96. Stella Ikupa Alex CCM
97. Suma Ikenda Fyandomo CCM
98. Sylivia Francis Sigula CCM
99. Tamima Haji Abass CCM
100. Taska Restituta Mbogo CCM
101. Tauhida Cassian Gallos CCM
102. Timida Mpoki Fyandomo CCM
103. Tinnar Andrew Chenge CCM
104. Tunu Juma Kondo CCM
105. Ummy Hamisi Nderiananga CCM
106. Yumna Mmanga Omar CCM
107. Yustina Arcadius Rahhi CCM
108. Zainabu Athman Katimba CCM
109. Zainab Abdallah Issa CCM
110. Zainab Rashid Kawawa CCM
111. Zena Maulidi Katambo CCM
112. Zeyana Abdallah Hamid CCM
113. Zuena Athumani Bushiri CCM
114. Devotha Minja CHAUMMA
115. Sigrada Mligo CHAUMMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages