
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wa ngazi za juu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye mahafali ya wahitimu 106 wa Chuo cha Kijeshi Monduli, mkoani Arusha, leo Jumamosi, Novemba 22, 2025.
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Saanane, Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Dkt. Tutindaga George, akionesha Tuzo yake ya Ubunifu wa Mazao ya...
No comments:
Post a Comment