
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla (katikati), jana Novemba 6, 2025 alifanya ziara katika eneo la Namanga lililopo mpakani na nchi ya Kenya, ambapo pamoja na mambo mengine, alisisitiza amani na ustawi wa biashara.
Ernest Sungura Na Mwandishi Wetu Baraza la Habari Tanzania (MCT) litawakutanisha wadau wa habari nchini kujadili uhuru wa sekta hiyo kufuati...
No comments:
Post a Comment