
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Isaac Njenga, Ikulu jjijini Dar es Salaam, Desemba 17, 2025.
Balozi Njenga alifika Ikulu kumuaga Rais Samia baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini, ambapo pamoja na mambo mengine, walijadili kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Kenya.

No comments:
Post a Comment