NEWS

Monday, 17 August 2026

Meneja Maendeleo ya Biashara wa CMG Hotels atembelea ofisi za Mara Online



Meneja Maendeleo ya Biashara wa CMG Hotels Tarime, Anicet Marwa (kushoto, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Mara Online Limited, Jacob Mugini, juzi wakati alipotembelea ofisi hiyo na kufanya mazungumzo maalum na Mkurugenzi huyo kuhusu muendelezo wa ushirikiano wa kibiashara baina ya pande hizo mbili. (Picha na Mara Online News)

Sehemu ya mbele ya CMG Hotels Tarime

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages