NEWS

Monday, 15 December 2025


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga, kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Tisa wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda, Jumatatu, Desemba 15, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages