
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi (pichani juu kulia), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mikami Yoichi.
Mazungumzo yao yalifanyika Ikulu Chamwino, jijini Dodoma, jana Januari 14, 2025, ambapo yalilenga kuimarisha zaidi ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na Japan.

Wakifurahia picha ya pamoja Ikulu
No comments:
Post a Comment